Monday, March 9, 2009

AY TOUR NDANI YA US.

CEO wa lebo ya Unity Entertainment Co.Ltd Ambwene Yessayah {A.Y} ameshatua kwa Obama tayari kwa makamuzi bab kubwa!,akiongea kwa njia ya simu AY alisema "Niko US nimekuja jana na kesho nakamua Minneapolis,KESHO NI PINI JUU YA PINI NA MENGINE MENGI,ni mara yangu ya kwanza kufanya show US so nitafanya mambo makubwa kuliko yote waliowahi kuyaona sina maneno mengi ila nasubiri kupiga kazi tu.pia cd GREATEST HITZ za AY pamoja na POSTCARDS zake zitapatikana wakati wa shows,ukinunu cd moja kwa 10usd unapata na postcard moja ya bure,taarifa zaidi ya shows zinazofuata nitakujulisha asap!" Kama kawaida mzee wa commecial tayari kuwasababishia maunja watu wote wa US.

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.