
Msanii wa muziki kizazi kipya nchi Ambwene Yessayah anatarajia kufanya onyesho moja mkoani Morogoro,Onyesha hilo ambalo litafanyika katika chuo kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro.Onyesho ilitafanyika katika ukumbi wa GREEN MZUMBE HALL ya tarehe 16/05/2009 jumamosi hii.AY anasema “Naomba wanafunzi wajitokeze kwa wingi,kwani ni muda mrefu sana mzee wa commercial siajokea maeneo hayo,sasa ni zamu ya watu wangu wote wa mzumbe na maeneo yote ya mji kasoro bahari”.Pia katika show hiyo iliyopewa jina la USIKU WA A.Y atasindikizwa jukwaani na Mike T Mnyalu pamoja na Mr.Blue. KIINGILIO NI 3,000 TU.
WOTE MNAKARIBISHWA..!!
1 comment:
Mwana tunakusubiri njoo utupe raha
Post a Comment