Sunday, July 5, 2009

KWA WADAU WA BLOG HII.

Ndugu mdau,

Kwanza kabisa ningependa kutanguliza shkurani zangu za dhati kwa kuweza kufanikisha na kuwezesha blog hii mpaka kufikia hapa.Ni siku za karibuni tunafikisha mwaka mmoja wa blog hii tangu iyazishwe.Kwa zaidi sasa tutakuwa tunaweletea habari za ziada kutoka bara la Afrika,Ulaya,Asia na Amerika.Hii itakuwa inajumuisha habari mbalimbali zikiwemo za mastaa wa Music,Movie nk.

Asante sana
Mkurugenzi

USICHOKE KUTEMBELEA BLOG YAKO HII.

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.