Tuesday, July 28, 2009

MUHIMU SANA SOMA HII NA MTAARIFU NA MWENZAKO

EXTRA MILES GROUP

YAH: KUHAIRISHWA KWA PARTY YA “SPREAD THE WORD”

Kwako ndugu,

Kwanza ningepnda kuwasalimu wote,nipo hapa kuwataarifu ya kwamba ile party iliyokuwa ifanyike jumamosi hii tarehe 01/08/ 2009 pale kwenye ukumbi wa “Thai - Village” zamani “ARABELLA –MASAKI” imehairishwa mpaka pale itakapo tangazwa tena kupitia vyombo vyetu vya habari. Hii hii ni kutokana na sabau zilizo nje ya uwezo wetu.Ningependa kuwaambia kwamba huu mwanzo usiwakatishe tamaa,kwani tunajipanga zaidi kuboresha nyanja mbalimbali na kuwaletea kitu kizuri kabisa na cha uwakika .

NB: NAOMBA UTAKAPOPATA UJUMBE HUU MTAARIFU NA MWENZAKO.

Asante Sana.

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.