Sunday, September 6, 2009

SOGGY MMBISHI WA TOWN

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Anslem Ngaiza aka Chifu Rumanyika au Soggy Doggy ametoa wimbo mpya hujulikanao kwa jina la "Wabishi wa town" akiwa amemshirikisha Chid Benz na D Knob.Wimbo huu ukiwa umefanywa na producer Tudy.Kwasasa umeshasambazwa katika vituo mbalimbali vya radio,Soggy yupo mbioni kufanya video wa wimbo huu.

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.