Thursday, November 12, 2009

EXTRA MILES GROUP YATOA POLE KWA KAMPUNI YA EML KUUNGULIWA NA UKUMBI WA CLUB MAISHA





Kampuni ya Extra Miles Group (T) inatoa pole kwa uongozi mzima wa Club Maisha iliyopata kuunguliwa hivi karibu na moto, akiongea kwa niaba ya kampuni ya Extra Miles Group (T) Peter Kilinda alisema " kusema ukweli tunasikitika sana na pia tunashkuru Mungu kwani wakati wa tatizo hilo linatokea kuliwa hakuna mtu alieyepata madhari,kutoka na janga hilo ila tunaowaombea kwa Mungu kampuni ya Entertaiment Masters kwa hichi kipigo walilopata wamuombe Mungu na kutuelie kujipanga na kuweka mabo sawa".

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.