












Picha tofauti zinazoonyesha harusi ya msanii nguli wa Afrika Mashariki Jose Chameleone akiwa katika pozi tofauti na familia,ndugu,jamaa na marafiki.Ni moja kati ya harusi zilizofunika bila shaka Afrika Mashariki kwani ilikuwa ni gumzo la kutosha kabisa huko nchini Uganda.
1 comment:
It was so hot party,craziest kip it up the blog give us interior things.Which ever been shown by others.
Post a Comment