Monday, March 23, 2009

Producer Hermy B anaomba kura zenu.




Picha ya katikati-Hermy B akiwa na mwalimu wake anaitwa Bill Halverson. Amesomea Electronic Music Prctn, Sound Engineering, Sound for picture/movies, Artist Development & Management etc. Huyu mwalimu ameproduce Legends kama Eric Clapton, Crosby na Michael Jackson nawengine kibao.

Jinsi ya kumpigia Hermy B kama mtarishaji bora wa muziki kwa mwaka 2008 -2009.
-TUMA neno Kili 164 kwenda 15522.

-Kwa wanaotaka kutuma kupitia post, andika jina lako, anwani na utume fomu kutoka magazetini kwa njia ya posta au fikisha mwenyewe kwenye geti la Tanzania Breweries Ltd P.O.Box: 9013 Dar es Salaam.

-Ukipenda, tuma kura kwa barua pepe kwenda vote@kilitimetz.com. Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Mpigie kura msanii wako sasa!

3 comments:

Anonymous said...

Hermy B wewe ni noma kama tuzo ni yako mzee,kwanza kabisa umebadilisha muziki wa wa kibongo kabisa.Kama producer wewe ni zaidi ya ma producer.

Anonymous said...

Aisee wewe ni mkali brother,nakuamini hata kwenye kazi zako sana

Anonymous said...

Unatishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!


I made this widget at MyFlashFetish.com.