Monday, March 23, 2009

KILI MUSIC AWARDS 2009 KUFANYIKA TAR.04/04/2009 DAIMOND JUBILEE HALL"Piga Kura ".



Kampuni ya bia nchini (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager,wiki iliyopita ilitangaza rasmi majina ya wasanii na wanamuziki waliopendekezwa ili waanze kupigiwa kura kuwani tuzo za muziki za Tanzania 2009,zijulikanazo kama Kili Music Awards.

Sasa unaweza kupiga Kura kupitia.

www.kilitimetz.com

1 comment:

Anonymous said...

Kilimanjaro Music Award mbona mmechelewa kutangaza hivyo?


I made this widget at MyFlashFetish.com.