
Jean Bedel Mpiana Tshituka (JB Mpiana) na Madame Elizabeth TSHALA MUANA wanatarajia kutua jijini Dar es Salaam mapema wiki hii kwa Tamasha la Club E ambalo litafanyika tar. 18/12/2009 pale Ubungo Plaza wasanii waho nguli na wakali wa kunyenga mauno kwenye jukwaa ambao kila mtu alitamba na wanaendelea kutamba na mpaka sasa katika tasnia ya muziki wa congo.CLUB E kupitia chapa yake ya Embassy ndio wenye kuwaletea wananchi onyeshoo hili.
No comments:
Post a Comment