Monday, December 14, 2009

STR8MUZIK INTER -COLLEGE SPECIAL DODOMA FUNIKA BOVU


"Jamaani Str8Muzik hivi kweli mbona tunawahusudu kwa kutupa burudani" mashabiki wa Dodoma walivyodata

"Kiingilio 2000 beer 3 bure mambo ni Str8Muzik Tu" - Bila ni mmoja kati ya wadau wa liodhulia ni maneno haya alisema

"Kaka chukua beer 3 zako za bure hizi hapa mezani pisha wengine waje"

Amani kutoka Kenya akifanya vitu vyake ndani ya Dodoma


Joh Makini akikamua mistari

Mashabiki walivyopata str8Muzik kutoka kwa wasanii mbalimbali

Nonini aka Godfather

No comments:


I made this widget at MyFlashFetish.com.